Uwanja wa ndege wa Sana'a waangamizwa na Israel

 

Uwanja wa ndege wa Sana'a wa nchini Yemen umeshambuliwa vibaya na kuleta uharibifu mkubwa unaokadiriwa kufikia hasara ya kiasi cha dola milioni 500 kutoka kwa jeshi la Israel.
:

 Itachukua muda mrefu kukarabati na kurejesha Uwanja wa Ndege wa Sana'a katika shughuli za kawaida.

Wakati huo huo, Israel ilionya kundi la Houth kwamba Wakijidanganya kujibu shambulio hili basi wajue watajibiwa kwa kipigo kikali zaidi

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitaja kanuni ya kibiblia ya "jicho kwa jicho, jino kwa jino," lakini akaendelea zaidi, akionya kwamba Wahouthi na Yemen watalipa kwa "macho na meno kadhaa."

No comments