CCM yafikisha wanachama milioni 13
Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewashukuru Watanzania Kwa kuendelea kuiamini na kuiunga mkono CCM.
Akiongea katika Mkutano mkuu maalum wa CCM Jijini Dodoma ulioitishwa ukiwa na agenda kuu tatu amesema CCM ndio chama chenye wanachama wengi na hai hapa Tanzania kuliko chama kingine chochote.

Post a Comment