Moto ambao chanzo chake hakijaeleweka, umeteketeza baa maarufu maeneo ya Tabata mchana huu. Pamoja na kiota hicho maarufu kwa wakazi wa maeneo hayo na jirani, pia inadaiwa nyumba nyingine za jirani na baa hiyo pia zimeungua.
Post a Comment