Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28

 

Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28. Kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Temeke, imeamriwa kwamba.. 

  • Ndoa kati mlalamikaji na mlalamikiwa imevunjwa na talaka imetoka.
  • Hakuna mali zilizopatikana kwa pamoja kwenye ndoa.
  • Uangalizi wa mtoto Daniela Davis Mosha unakuwa chini ya mlalamikaji (Baba)
  • Mdaiwa anapewa ruhusa ya kuwa na mtoto kipindi cha likizo na siku yenye nafasi kwa mtoto
  • Mdaiwa amekatazwa kutumia jina la mlalamikaji Davis Mosha na amerejeshewa majina yake ya awali
  • Kila mmoja atabeba gharama za kesi
  • Credit: Jamii Forum

No comments