ZALI ZA MRISHO MPOTO IKULU YA MAGOGONI HALIJAWAHI KUPOTEA

Msanii Mrisho Mpoto ambaye alikuwa akialikwa mara kwa mara katika shughuli za kiserikali wakati wa Rais John Pombe Magufuli, nyota yake bado inang'aa.

Jana alikuwepo Magogoni kutoa burudani wakati wa mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika 2023 au kwa kimombo Africa Food Systems Forum 2023.

Hongera sana

No comments