RAIS SAMIA AZINDUA JUKWAA LA MIFUMO YA CHAKULA BARANI AFRIKA
Rais Samia Suluhu Hassan jana alizindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika yaani Africa Food Systems Forum 2023 wakimsikiliza Rais Samia Ikulu Dar es Salaam wakati akilizindua.

Post a Comment