WANAOANZA BIASHARA KUTOLIPA KODI KATI YA MIEZI SITA HADI MWAKA MMOJA

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kibali ya kuwaruhusu watu wanaoanza biashara mpya kutolipa kodi kati ya miezi sita hadi mwaka mmoja.

Taarifa iliyotolewa na gazeti la Habari Leo imesema waziri ametoa kauli hiyo leo Machi 9, 2023.

No comments