SIXTUS MAPUNDA ATEULIWA MKUU WA WILAYA YA SUMBAWANGA
Jane Nyamsenda, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, uteuzi wake umetenguliwa kuanzia leo.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sixtus Raphael Mapunda kuchukua nafasi hiyo, ambayo inaanza rasmi leo.
Mapunda, ambaye alihudumu katika Jumuia ya Vijana na baadae kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Mjini kuanzia 2015, alipoteza ubunge katika uchaguzi uliopita.

Post a Comment