ALIYEIMBA NA DIAMOND, MBOSSO AFARIKI BAADA YA KUZIMIA JUKWAANI
Mwimbaji nyota wa muziki nchini Afrika Kusini, Costa Ticht ambaye amewahi kushirikiana nyimbo na wasanii Diamond Platnumz na Mbosso kutoka lebo ya WCB amefariki akiwa anafanya onyesho jijini Johhanesburg.
Titch ambaye kifo chake kimetokea wiki chache tu baada ya nchi hiyo kumpoteza rapa AKA, alikuwa katika tamasha la Utra Music wakati alipopoteza fahamu na baadaye kutangazwa kuwa amefariki.

Post a Comment