VITABU 16 MARUFUKU KUTUMIA KATIKA SHULE ZA TANZANIA

Serikali ya Tanzania, kupitia Waziri wake wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Mkenda, imepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 kutumika katika kufundishia kwa shule zote nchini.

Profesa Mkenda amewataka wazazi na walezi kutoa ushirikiano kwa kukagua mabegi ya watoto kuhakikisha vitabu hivyo havitumiwi na watoto wao


No comments