UCHAGUZI WASIMAMISHWA MGOMBEA AKIUAWA

Mgombea wa chama cha upinzani cha Labour nchini Nigeria katika Kusini mwa Enugu, ameuawa kw kupigwa risasi hali iliyosababisha Tume ya Uchaguzi nchini humo kusimamisha uchaguzi huo uliokuwa ufanyike jana.

Mwenyekiti wa tume hiyo, Mahmood Yakub alisema uchaguzi huo hautafanyika hadi hapo itakaootangazwa tena

No comments