MAFURU CEO AICC ARUSHA
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Ephraim Balozi Mafuru kuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo Cha Kimataifa cha Mikutano Jijini Arusha, AICC.
Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Wa Mawasiliano ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam leo, Zuhura Yunus, imesema Mafuru anachukua nafasi hiyo akitokea Kiwanda Cha sukari cha Kilombero ambako alikuwa mkuu wa masuala ya Biashara.

Post a Comment