WAZiRI MKUU UINGEREZA APIGWA FAINi

Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amepiga faini kwa kutovaa mkanda wa gari wakati gari likisafiri wakati alipokuwa akichukua video kwa akili ya mitandao ya kijamii.

Polisi katika eneo la Lancashire imesema kuwa imempatia mwanaume mweney umri wa miaka 42kutoka London adhabu ya kulipa faini ya fedha zilizopangwa kisheria kwa ajili ya kosa hilo.

Ofisi ya waziri mkuu No 10 imesema kuwa


No comments