SAMAHANI KWA KUPOTEA HEWANI

Kwa zaidi ya miezi kumi na ushee iliyopita, blogu yetu haikuwa hewani, Hii ilitokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu.

Tunashukuru kwamba pamoja na kutokuwa hewani bila taarifa, bado wasomaji wetu waliendelea kuitembelea blogu yetu pasi na kuchoka.

Jambo hili limetupa moyo sana na kutufanya tuone fahari kuwa na nyinyi. Sasa tumerejea na tunaahidi kufanya kazi kwa bidii, weledi na ​maadili ili kutoa mchango wetu katika tasnia hii.

ASANTENI SANA

No comments