MKONGWE DANI ALVES AKAMATWA
Mkongwe wa soka wa Brazil, Dani Alves amekamatwa na polisi nchini Hispania kwa kosa la kumnyanyasa kijinsia mwanamke mmoja katika klabu ya usiki jijini Barcelona.
Polisi wamemfungulia jalada la uchunguzi beki huyo mwenye umri wa miaka 39 ambaye hata hivyo amekana tuhuma dhidi yake

Post a Comment