MPUNGA SASA BWERERE WILAYANI MBINGA

Mpunga ukiwa umeanikwa tayari kwa kikobolewa ili kupata bidhaa ya mchele. moja kati ya vyakula pendwa kwa watanzania.

Kwa mujibu wa wafanyabiashara wa mpunga mjini hapa, kwa sasa kuna unatilanaji mkubwa wa  bidhaa hiyo ambayo inalimwa katika maeneo ya Mbambabay, Litumba na Rusewa wilayani Namtumbo.



Mfanyabiashara Kassim Zuberi (pichani) ameiambia Ojuku Blog kuwa wananunua dumla moja ya mpunga kwa shilingi elfu tatu, ambapo baada ya kukobolewa, wenyewe huuza kilo moja ya mchele kuanzia shilingi 2500-3000.

No comments