MANGUNGU AREJEA TENA UENYEKITI SIMBA
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amerejea tena katika nafasi hiyo kufuatia uchaguzi uliofanyika jana na kumalizika leo jijini Dar es Salaam.
Mangungu alimshinda mpinzani wake Wakili Kaluwa ambaye licha ya kukataa kusaini matokeo hayo ya kukubali kushindwa, alisema yupo pamoja na uongozi kuhakikisha klabu hiyo inasonga mbele.

Post a Comment