DAR: BAJAJI NA BODABODA KUTOINGIA MJINI KUANZIA KESHO

Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi amepiga marufuku
Madereva wa Bajaji na Bodaboda kuingia Mjini kuanzia Novemba Mosi, 2021
Amewataka wote walioko Maeneo ya Mjini kuondoka isipokuwa
Bajaji za walemavu tu ndio wanaruhusiwa kuonekana maeneo hayo.

Post a Comment