SIKIA HII KALI KUMHUSU RAIS MACRON WA UFARANSA

Ulishawahi
kusikia japo kwa uchache kuhusu Emanuel Macron Rais wa sasa wa ufaransa? Je
ushawahi kusikia kuhusu mke wake?
Ni hivi Rais Emanuel Macron wa ufaransa ana miaka 43 ndio
rais kijana kuliko maraisi wote waliowahi kuiongoza ufaransa
Emmanuel Macron alianza kumpenda mwalimu wake wa darasani
aliyeitwa rigitte Trogneux, kipindi hicho Emanuel Macron akiwa na miaka 15 huku
Mwalimu rigitte Trogneux akiwa na miaka 39
Lakini Walianzisha mahusiano yao rasmi baada ya Emanuel
Macron kutimiza miaka 18....licha ya jitihada mbalimbali zilizofanywa na wazazi
wa Emanuel Macron ili waweze kuwatenganisha wasiwe kwenye mahusiano lakin
hawakufanikiwa
Ukumbuke binti wa Mwalimu rigitte Trogneux alikuwa anasoma
darasa moja na Emanuel macron.... Hebu vuta taswira yaan mtu unasoma darasa
moja nae halafu ndio mpenz wa mama yako mzazi
Mwaka 2006 Mwalimu Rigitte Trogneux aliachana na mume wake na
mwaka 2007 aliolewa na Emanuel Macron ....huku Rigitte Trogneux akiwa na watoto
watatu kati ya hao wapo waliomzidi umri mumewe wakati Emanuel macron hana mtoto
hata mmoja
Emanuel Macron amezidiwa miaka 24 na mke wake huyo
Emanuel Macron amezidiwa miaka 3 na mtoto wa Kwanzaa wa mke
wake

Post a Comment