ISHU YA MTO NILE...MISRI YASALIMU AMRI KWA ETHIOPIA, YAIGEUKIA KONGO DRC

BVAADA ya Ethiopia
kukaza uzi na kuendelea na harakati zake za kuyatumia ipendavyo maji ya Mto
Nile, Misri ambayo kwa asilimia zote inayategemea maji ya mto huo kwa uhai wake,
sasa imeigeukia Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC.
Huko, Misri
inapeleka mamilioni ya dola ili iweze kuruhusiwa kuchepusha maji yatokayo Mto
Kongo ili yakaungane nba yale machache yanayobakia ya Mto Nile ili kuilisha
nchi yao.

Post a Comment