NI KWELI UNAJUA, ILA WAJUZI WANAKUJUZA ZAIDI

 Cool Facts about the Amazon Rainforest - One Tree Planted


KAMA unadhani wewe ni mjuzi wa mambo mengi, yapo mengine huenda hauyajui, kama mjuzi huyu anavyokuambia kuwa kila mtu duniani, ana miti 400 kibindoni!
Unashangaa? Unajiuliza hiyo miti iko wap? 

Ni hivi hadi 2020 dunia ilikuwa na miti trillion 3.04

Kwani ukiigawa kwa watu billion 7 ina maana kila mtu ana uhakika wa kupata miti 400

Kama ulikuwa hujui ni hivi dunia nzima ina ukubwa wa eneo 148,940,000,000,000.00000000000000000000 m²

Na ni ⅛ tu ya eneo la dunia ndio inatumiwa na binadamu ambayo ni sawa na 18,618,000,000,000 m²

Kwahyo usishangae nikikwambia kuwa kuna miti trillion 3.04 na kila mmoja hapa anaweza kupewa miti 400 na miti mingine ikabaki 

Lakin licha ya hayo ni kuwa nchi kama Singapore na Saudi Arabia nchi mwao peke wakiamua kukata miti kugawa kila mmoja hatopata mti zaidi ya mmoja 

Wakati nchi ya Urusi wakiamua kukata miti yao kila raia wa urusi anaweza kupata zaidi ya miti elfu 4

Chanzo JF.

 

No comments