MIQUISSONE ATAMBULISHWA RASMI AL AHLY, KULIPWA MILIONI 92 KWA MWEZI

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba,
raia wa Msumbiji, Luis Miquissone ametambulishwa rasmi kama mchezaji wa Al Ahly
ya Misri.
Mara tu baada ya utambulisho huo, mitandao
mbalimbali imeripoti kwamba Miquissone atakuwa analipwa mshahara kati ya USD
40,000 hadi 50,000 (Tsh Milioni 92 - milioni 115) kwa mwezi

Post a Comment