CCM WATOA POLE KWA KIFO CHA HAMZA, MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM ILALA


1629921896157.jpeg

 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM0 kimetoa salam za rambirambi kwa wenzao wa wilaya ya Ilkala, kwa kifo cha Hamza Mohamed, aliyeuawa na Polisi jana katika majibizano ya risasi na askari Polisi. Inadaiwa kuwa kijana huyo alitoa kiasi cha shilingi milioni 200 kwa chama hicho wakati wa mchakato wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita.

No comments