MBUNGE WA UKONGA KUTINGA BUNGENI CHINI YA ULINZI LEO
MBUNGE wa Ukonga kwa tiketi ya CCM, Jerry Silaa leo anatazamiwa kupelekwa mbele ya Tume ya Maadili ya Bunge akiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi.
Silaa ambaye alishindwa kutokea
mbele ya tume hiyo ili kuhojiwa juzi, ataongezewa mashtaka zaidi na kuwa matatu
ambayo ni kusema uongo, kuvunja heshima ya Bunge na kudharau wito wa Kamati ya Kaki, Maadili na Madaraka
ya Bunge.

Post a Comment