KAPOMBE, NYONI WASAMEHEWA, WAREJESHWA STARS


Inaweza kuwa picha ya Mtu 1, amesimama na nje

 WALINZI wawili wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Erasto Nyoni na Shomari Kapombe wamnesamehewa na kocha wa timu hiyo, Kim Poulsen ambaye awali alkikataa wasipokelewe kwa kile alichosema kuchelewa kuripoti kambinbi pasipo taarifa.

Walinzi hao ambao wote huchezea Simba, wameruhusiwa kujiunga na wenzao tayari kwa mchezo wao dhidi ya DRC Kongo

No comments