NDUGU WA HANMZA WAKAMATWA, NYUMBA YAO YAFUNGWA, IPO CHINI YA ULINZI


1629921896157.jpeg

NBDUGU wa mtu aliyeuwa polisi watatu na mlinzi binafsi mmoja jana jijini Dar es Salaam, anayefahamika kwa jina la Hamza, wamekamatwa na Polisi wakiwa katika nytumba wanbayoishi maeneo ya Upanga. Ndugu hao wamechukuliwa kwa ajili ya mahojiano huku nyumba hiyo ikiifungwa na kuwa chini ya uangalizi wa jeshi la Polisi. Wakati huoi huo, baadhi ya watu wanaomfahamu muuaji huyo wamekuwa wakitoa maelezo yao ya jinsi wanavyomfahamu kupitia vyanbzo mbalimbali

No comments