BARNABA BOY NA SIFA TANO ZA KING KIBA


Bongo Flava star Ali Kiba arrives in Kenya for Coke Studio Africa | Music  In Africa

HIVI karibuni, wasanii wawili nyota wa Bongo Fleva, Ali Kiba 'King' na Barnaba walitoa kazi ya pamoja inayokwenda kwa jina la Cheketua ambayo inasumbua hivi sasa katika chati mbalimbali za vituo vya redio na televisheni.

Katika akaunti yake ya Instagram, Barnaba ameandika>>'Niwape Biography kidogo kuhusu hii kazi mimi na Alikiba @officialalikiba

Kwanza Sifa Zake 5 kwenye kazi
1- Mcheshi Sana Kupitiliza Sana
2- Mpenda kuhakiki Kila kitu kwa Vocall
3- Utumia muda mwingi kuandika Tungo
4- Anaheshimu kitu kinaitwa mawazo Ya mttu mwengine na Anapokea maelekezo Hasa Kama wazo zuri Na linafiti kwenye Tunachotengeza Au mnachotengeza
5 - Akishiriki JAMBO ni Asilimia 100 💯 Juu ya Mia / Ubeba JAMBO hilo kama lake, Upenda lifanikiwe tena HASA kwa pamoja
6 / Ya nyongeza: Sio msemaji Sana Lakini kauri zake mbili Ndio Au Hapana !
Yani ( NAWEZA Au SIWEZI kwa rugha rahisi Mkweli wa KILA JAMBO
Thank you so much, you deserve To B king and Mfalme,  you’re so humble my brother: Naheshim Sana nafasi yako kwenye hili Upendo Tangu Tunafanya hi kazi Asante Sana for your Time and everything we are family' Kama bado hujasikiliza ngoma hii, pita kwenye 
#Bio ya @barnabaclassic

No comments