MTOTO HUYU AMEPOTEA JANA HUKO GOBA DAR ES SALAAM

 Inaweza kuwa picha ya mtoto, kusimama na maandishi yanayosema 'Anaitwa Caren amepotea jana maeneo ya Goba. Alikua anacheza na wenzake lakini baada ya hapo hakurudi nyumbani. Tunaomba kwa yeyote atakaemuona popote asisite kutoa taarifa kituo chochote cha polisi cha karibu au unaweza kupiga simu kwa namba zifuatazo 0679523524 au 0759549000 au *0654004003 Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mungu akubariki sana. _TUNAOMBA UKIPATA TAARIFA HII TUSAIDIE KUSAMBAZA KADIRI WEZEKANAVYO ILI KUWEZESHA KUPATIKANA KWA ΜΤΟΤΟ HUYU._A'

No comments