MSIKIE MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA JUX AKIMZUNGUMZIA EX WAKE VANESSA MDEE

"KWANZA siYo kweli, kipindi
kile tulikuwa tunafanya wote kazi, sio ulikuwa ni muda ambao sio tayari, mimi
mwenyewe sikuwa tayari, yeye mwenyewe (Vanessa Mdee) alikuwa anafanya kazi zake
sana, hatukuwahi kufikia kwenye hiyo hatua,"
"Na tulikuwa tunaamini kama
hiki kitu kitatokea kitaturudisha nyuma kwenye focus ya kazi, hivyo muda
utakapofika kila kitu kitakuwa sawa lakini sisi tunapanga na Mungu
anapanga,"
"Nataka kuwa na mtoto na
mtu sahihi, tatizo sio kuwa na mtoto, bali unakuwa na mtoto na nani, namshukuru
Mungu nina riziki, nina uwezo wa kumuhudumia kila kitu lakini tatizo linakuja
nani anakuja kuwa mama wa mtoto"

Post a Comment