ALIYETUPIWA VIRAGO PSG ALETA KICHEKO CHELSEA

MAISHA bwana hakuna aijuaye kesho, ndiyo maana watu wa motivation wanasemaga usipoteze matumaini hadi siku umauti ukufike.
Siku 156 zilizopita wakati watu wakisherekea msimu wa Sikukuu ya Christmass na Mwaka mpya, PSG walimfukuza Thomas Tuchel licha ya kuwafikisha fainali ya UCL msimu uliopita 2019/20.
Leo anatwaa kombe akiwa na
Chelsea huku PSG wakipoteza ubingwa wa Ufaransa..
Ukisema cha nini wengine
wanasema tutakipata lini....

Post a Comment