TETESI TSHABALALA ASAINI MITATU SIMBA

TETESI zimeanza kusambaa
kuhusu nia ya kuondoka klabuni kwa nahodha msaidizi, Mohammed Hussein Zimbwe Jr wa Simba. Lakini
katikati ya tetesi hizo, baada ya CEO wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez kukanusha
habari hizo, zimeibuka mpya kwamba beki huyo nyota wa kushoto, amesaini mkataba
mpya wa miaka mitatu.
Kwa
mujibu wa habari hizo, thamani ya mkataba huo ni
milioni 420, huku mshahara wake sasa ni milion 10 kwa mwezi na Milioni 60 kama
ada ya mkataba mpya

Post a Comment