RAIS SAMIA AKUTANA NA KATIBU MTENDAJI SADC

RAIS wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo
Ikulu jijini Dodoma, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax.

Post a Comment