BARAZA LA WAFANYAKAZI LAJADILI BAJETI YA SEKTA YA UCHUKUZI 2021/2022
KatibuMkuu -Uchukuzi, Gabriel Migire (kulia), akizungumza na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho, kabla Waziri huyo kufungua Kikao cha Baraza la Sekta ya Uchukuzi, kilichofanyika Katika Ukumbi wa Ewura, Jijini Dodoma.
Imetolewa na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi,
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.

Post a Comment