KATIBU MKUU UJENZI AKABIDHIWA OFISI


 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta  ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga (kulia) akikabidhi nyaraka za makabidhiano ya ofisi kwa Katibu Mkuu mpya wa Sekta hiyo, Mhandisi Joseph Malongo, katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo Mtumba jijini Dodoma.

No comments