Skudu Makudubela adai hata Mamelodi wanaihofia Yanga
"Nimekuwa nikifatilia taarifa kutoka nyumbani Afrika Kusini
na nimeona hata Mamelodi Sundowns wana hofu na Yanga tofauti na jinsi baadhi ya watu wa huku (Tanzania) wanavyoichukulia Yanga Kuelekea mechi hiyo"
"Naamini kabisa tutashinda uwanja wa nyumbani kwa kishindo na sio kwa kubahatisha, tunajulikana uwezo wetu wa kubadilisha mchezo hivyo mashabiki wasihofu, tutakwenda kuwashangaza kwani kila kinachoendelea kule (Afrika kusini) nimekuwa nikishea na wenzangu pamoja na benchi la ufundi .. Tunaifatilia (Mamelodi) kwelikweli"

Post a Comment