Ratiba ya kumuaga Mheshimiwa Lowassa yatolewq


Tarehe 13.02.2024 Jumanne - Ibada na Kuaga mwili, Karimjee (Kiserikali)

Tarehe 14.02.2024 Jumatano - Ibada, Azania Front (Kidini)


15.02.2024 Alhamis - Mwili wa Hayati Lowassa kusafirishwa kwenda Arusha.

- Kuaga Sheikh Amri Abeid

- ⁠Kuelekea  (Monduli) 

16.02.2024 Ijumaa - Ibada na kuaga mwili (Monduli)

17.02.2024 Jumamosi - Ibada ya Mazishi (Ngarash-Monduli)

No comments