Msafara wa Makonda wapata ajali Masasi

Msafara wa Katibu Mwenezi wa CCM, Paul Makpnda umepata ajali mjini Masasi akiwa njiani kurejea Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa kituo cha redio cha Wasafi, kilichoandamana na kiongozi huyo, magari saba yalihusika katika ajali hiyo ambayo haikuleta kifo chochote.

Hali ya Makonda, ambaye amekua akijaza mamia ya watu katika mikutano yake ya kutatua kero za papo kwa hapo, ni nzuri.

No comments