Mwanamke Sweden ashtakiwa kwa kuvuruga amani ya marehemu
Mkuu wa mashitaka Bi Kristina Ehrenborg-Staffas ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa bibi huyo anakabiliwa na mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu.
Lakini mama huyo amejitetea akisema haoni kama amefanya kosa kwani anafurahi kufanya mapenzi na maiti. Wakati alipokamatwa alipatikana akiwa na mifupa ya binadamu, mafuvu na viungo vyengin

Post a Comment