CCM kuendelea kushika dola kwa kuwa inajitosheleza kiuongozi toka chini hadi juu


Ziara ya Sekretarieti ya CCM Mkoa wa Iringa ikiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Ndugu Said Yusuph Goha  Wameendelea na ziara ya Ukaguzi na kuzungumza na Wajumbe na  Wanachama Kuzunguka Wilaya zote za Mkoa wa Iringa Leo tarehe 18 Februari imefikia Iringa Mjini.

Nae Katibu Mwenezi wa Mkoa ndugu Joseph Nzala Ryata akizungumza kwenye kikao cha Wajumbe wa Halmashauri ya Wilaya Iringa Mjini pamoja na Wajumbe wa Kata za Mlandege,Kwakilosa, Mwangata,Isakalilo, Mivinjeni, amesema CCM itaendelea kubaki madarakani kwa imejitosheleza kwani Uongozi wake unanzia shina mpaka ngazi ya Urais hivyo wenzetu hawawezi hii

Viongozi wa Mkoa wa Iringa wapo kwenye ziara ya kukagua Uhai wa Chama tayari kwa uchaguzi wa Serikali za Mtaa 2024.


No comments