Uzinduzi wa Makumbusho ya Kisiwa cha Changuu (Prison Island Museum)
Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said ameshiriki na kufungua Makumbusho ya Kisiwa cha Changuu Zanzibar. (Prison Island Museum)
Makumbusho hayo yatafungua historia, hadithi na vizalia vya kuvutia ndani ya kuta zilizojenga makumbusho hiyo iliyopo katika kisiwa cha Changuu Zanzibar.
Uwepo wa Makumbusho hiyo utaongeza msisimko wa historia ya kisiwa cha Changuu na kugeuza kuwa mwanga wa kuhifadhi historia na elimu Zanzibar.
@simai_msaid @simai_m_said @rbhaloo @dronezanzibar @ikulu_habari @ikulu_mawasiliano @dr.hmwinyi @zanzibarmuseums @ccmtanzania @ccm_zanzibar @zati_association @zanzibar_tourism @maelezozanzibar @_pdbzanzibar

Post a Comment