Madeama apata dozi nene, Wananchi wasogea juu

Timu ya 


Timu ya Madeama ambayo ilibanwa nyumbani Kumasi, leo imekutana na dozi nene baada ya kukubali kipigo cha mbwa koko baada ya kupigwa bao 3-0 ndani ya dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar ea Salaam.

Ikicheza soka bora kabisa, Yanga ilipata ushindi wake kupitia kwa mastaa wake Pacome Zizzoua, Bakari Nondo na Mudathir Yahaya.

Kwa matokeo hayo, Yanga imefikisha pointi tano, ikiwa sawa na wanaoongoza kundi, Al Ahyl, ambayo ina mchezo mkononi dhidi ya Belauzdad wenye alama 4.

No comments