Halima Mdee na wenzake Washinda kesi dhidi ya CHADEMA
Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Cyprian Mkeha, wabunge hao wa viti Maalum (Chadema) waliofukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho kabla ya kuungwa Mkono na Baraza Kuu, kwa kitendo cha kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalum bila ridhaa ya chama, ilisema wabunge hao wataendelea na ubunge wao kwa vile ni wanachama halali wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

Post a Comment