Kesi ya kumvua Uwakili Boniface Mwabukusi yaanza l;eo
.
Baadhi ya Mawakili Wa Utetezi Kumtetea Wakili Msomi @Mwabuk2Boniface Katika Shauri la KUONDOA Uwakili wake wamefika Mahakama Kuu, Dar es salaam, Kanda ya Ardhi ambapo Kesi yake itaanza Kusikilizwa Leo.
...
Jopo la Mawakili Tisa(9) Wakiongozwa na Wakili Msomi Mpale Mpoki wameshaingia Chamber Kwa ajili ya Mchuano wa Kisheria dhidi ya Mashtaka ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali yenye lengo la Kumuondolea Uwakili, Msomi @boniface_a_k_mwabukusi
...
Kuweka Rekodi sawa kuhusu Mawakili waliofika Mpaka sasa ni: Wakili: Mpale Mpoki @mpalempoki Mwenyewe, Wakili, Dr. Rugemeleza Nshala akiwakilisha Chama cha WANASHERIA @tanganyikalawsociety, Wakili Philip Mwakilima, Wakili @chengula.emmanuel , Wakili @titomagoti, Wakili Edson Kilato, Wakili Dickson Matata na wengine Kuungana na Jopo soon
..
..

Post a Comment