MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KIWANDA CHA TANWAT NJOMBE

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na kaimu mkurugenzi wa Kiwanda cha Tanganyika Wattle (TANWAT) Bw. Hemasundar Raju wakati alipowasili katika Kiwanda hicho cha uchakataji wa bidhaa za mbao kilichopo Kibena mkoani Njombe. 




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitembelea na kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa katika kiwanda cha uchakataji wa bidhaa za mbao cha Tanganyika Wattle (TANWAT) kilichopo Kibena mkoani Njombe. 






No comments