Gerlard Pique aanguka jukwaani


Nyota wa zamani wa klabu ya Barcelona, Gerald Pique ambaye pia ni mpenzi wa zamani wa staa wa muziki duniani, Shakira, ameanguka jukwaaani wakati hafla ya uzinduzi wa michuano mipya ya kandanda nchini Hispania.
Mshindi huyo wa kombe la dunia akiwa na Hispania, alianguka wakati akienda kutia saini katika shati la shabiki wake. Hata hivhyo, kwa mujibu wa BBC, nyota huyo wa soka hakupata majeraha na alirejea na kusaini mashati ya mashabiki kadhaa waliokuwepo.


No comments