YANGA YATINGA ROBO FAINALI, YALIPA KISASI KWA MONASTR, KWENDA CONGO KUPUNGA UPEPO
Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Yanga, wametinga robo fainali ya michuano hiyo baada ya kulipa kisasi cha kufungwa na Monastr kwa idadi ileile ya mabao.
Kennedu Musonda na Fiston Kayala Mayele walifunga mabao kila kipindi na kuwafanya mabingwa hao wa kihistoria Tanzania kwenda Congo, nyumbani kwa TPMazembe kutembea.
Wanafuzu baada ya watani wao wa jadi Simba kutangulia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika jana wakitoa kichapo cha mabao 7-0 kwa Horoya.
Ni shangwe kila kona Tanzania mida hii

Post a Comment