UNA SHUGHULI? WAONE K&O JV TENT
Kampuni ya K&O Jv Tent ya Kigamboni jijini Dar es Salaam imejipambanua kuwa bingwa wa mashughuli kwa kuwa na vifaa vyote vinavyofaa kwa shughuli za kijamii kama harusi, send off, mikutano, kipaimara na mikusanyiko ya aina yoyote.
Mmoja wa Wakurugenzi wa kampuni hiyo Kaiko Chiteji, ameiambia Ojuku Blog kuwa wanayo maturubai, viti, masufuria, sahani, vikombe na hupa za chai.
"Tunakodisha hivi vitu kwa bei rahisi kabisa, tunapatikana Michicha Road No 21, Kisarawe II Kibada kule Kigamboni. Tunatoa huduma hizi popote jijini Dar es Salaam."
Kaiko alitaja mawasiliano ambayo wanapatikana kwa muda wote kwa siku ni kwa kutumia namba za simu zifuatazo 0788 282978, 0767 254424 na 0712 254424.

Post a Comment