RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI SITA, AFANYA NAO MAZUNGUMZO

Raia wa Jamhuri ya Muungano jana alipokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi sita wanaowakilisha nchi zao hapa nchini na baadaye alifanya nao mazungumzo akiwa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

Mabalozi hao ni pamoja na Antonio Manuel Coelho Da Costa Moura wa Ureno (pichani juu), Andy Pravendnyk wa Jamhuri ya Ukraine, Katarina Zuffa Loligonova wa Jamhuri ya Slovak, Zsolt Meszaros wa Hungary, Michael Loten wa Israel na yule wa Ghana, Damptey Bediako Asare.

No comments