MANCHESTER CITY YAMPIGA MTU WIKI ULAYA
Mabingwa wa Ligi Kuu nchini England, Manchester City, jana walifanya mauaji makubwa baada ya kuwachapa Fc Leipigz kwa jumla ya mabao 7-0 katika mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Etihad jijini Manchester.
Erling Halaand ndiye alikuwa mwiba mchungu jana, kwani aliweka kambani mabao 5 peke yake na hivyo kuzidisha kasi ya rekodi yake ya upachikaji mabao kwa klabu hiyo iliyo chini ya kocha Pep Gardiola.

Post a Comment