KATIBU MKUU- MIGIRE AFUNGA BARAZA LA WAFANYAKAZI SEKTA YA UCHUKUZI

 


Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Uchukuzi, ambaye ni Katibu Mkuu-Uchukuzi, Gabriel Migire, akizungumza na wajumbe wa baraza (hawapo pichani) wakati  akifunga baraza la wafanyakazi Sekta ya Uchukuzi, lililofanyika Jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Dk Ally Possi, akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi (hawapo pichani), wakati wa ufungaji wa  baraza hilo, jijini Dodoma.

Mkuu wa Chuo cha Taifa  cha Usafirishaji, Profesa Zacharia  Mganilwa akichangia mada kuhusu majadiliano ya mpango wa bajeti wa mwaka 2023/2024 wakati wa ufungaji wa baraza la wafanyakazi wa sekta ya Uchukuzi, lililofanyika Jijini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Sekta ya Uchukuzi, wakimsikiliza Katibu Mkuu Gabriel Migire (hayupo pichani) wakati akifunga baraza la wafanyakazi, lililofanyika Jijini Dodoma.

 


No comments